• HABARI MPYA

  Sunday, February 11, 2018

  YANGA SC NA SAINT LOUIS KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Kiungo Mkongo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi akimuacha chini beki wa Saint Louis ya Shelisheli katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 1-0 
  Beki Hassan Kessy wa Yanga, akienda chini baada ya kuangushwa na beki wa St Louis na kusababihsa penalti ambayo Mzambia Obrey Chirwa alikosa
  Mfungaji wa bao pekee la Yanga, Juma Mahadhi (kulia) akipambana na mchezaji wa St Louis
  Beki wa Yanga, Said Juma 'Makapu' akiwa juu kugombea mpira na mchezaji wa St Louis 
  Kiungo wa Yanga, Pius Buswita akimtoka mchezaji wa St Louis 
  Kiungo wa Yanga, Ibrahim Ajib akimtoka mchezaji wa St Louis 
  Beki wa Yanga, Gardiel Michael akimtoka beki wa St Louis jana 
  Kiungo wa Yanga, Emmanuel Martin akimpita beki wa St Louis jana 
  Kikosi cha Saint Louis Suns United katika picha ya pamoja kabla ya mechi jana
  Kikosi cha Yanga kilichoshinda 1-0 kwa mbinde jana Uwanja wa Taifa
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC NA SAINT LOUIS KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top