• HABARI MPYA

    Wednesday, February 07, 2018

    YANGA NA NJOMBE MJI FC KATIKA PICHA JANA UHURU

    Beki wa Yanga, Gardiel Michael akipasua katikati ya mabeki wa Njombe Mji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 4-0
    Kiungo wa Yanga, Pius Buswita akimtoka mchezaji wa Njombe Mji FC
    Mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa aliyefunga mabao matatu jana akipambana na wachezaji wa Njombe Mji FC 
    Kiungo wa Yanga, Raphael Daudi akiugeukia mpira dhidi ya wachezaji wa Njombe Mji FC
    Mfungaji wa bao lingine la Yanga, Emmanuel Martin akimtia tobo Ditram Nchimbi wa Njombe Mji
    Obrey Chirwa akipiga kichwa katikati ya wachezaji wa Njombe Mji FC
    Kiungo Juma Mahadhi akimpira mchezaji wa Njombe Mji FC
    Kiungo Mkongo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi akiwa juu kupiga mpira kichwa dhidi ya wachezaji wa Njombe Mji FC
    Wachezaji wa Yanga wakimpongeza Obrey Chirwa baada ya kukamilisha hat trick yake jana
    Mashabiki wa Yanga wakifurahia jana Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA NJOMBE MJI FC KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top