• HABARI MPYA

  Monday, February 05, 2018

  WENYE SIMBA YAO KWA RAHA ZAO LEO MNYAMA AKIUA 3-0 UHURU

  Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe (kulia) akifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting ya Pwani leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba imeshinda 3-0
  Kaimu Rais wa Simba, Salim Abdallah 'Try Again' (kushoto) akiwa na Kaimu Makamu Rais, Iddi Kajuna leo Uhuru
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WENYE SIMBA YAO KWA RAHA ZAO LEO MNYAMA AKIUA 3-0 UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top