• HABARI MPYA

  Friday, February 09, 2018

  VAN PERSIE AFUNGA BAO LA KWANZA TANGU AREJEE FAYERNOOD

  Mshambuliaji Robin van Persie akishangilia baada ya kuifungia bao la tatu Feyenoord dakika ya 78 kufuatia kutokea benchi kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Jens Toornstra timu hiyo ikiibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Groningen kwenye mchezo wa Ligi Kuu Uholanzi, maarufu kama Eredivisie usiku wa jana Uwanja wa Feyenoord mjini Rotterdam. Mabao mengine ya Feyenoord yalifungwa na Jens Toornstra dakika ya 53 na Jerry St Juste dakika ya 72 na ikumbukwe, Van Persei mwenye umri wa miaka 34 sasa amerejea Januari timu hiyo iliyomuibua kisoka kabla ya kumuuza Arsenal mwaka 2004 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: VAN PERSIE AFUNGA BAO LA KWANZA TANGU AREJEE FAYERNOOD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top