• HABARI MPYA

  Wednesday, February 07, 2018

  SWANSEA YAITANDIKA NOTTS COUNTY 8-1 KOMBE KA FA ENGLAND

  Mshambuliaji mpya wa England, Tammy Abraham akipongezwa na wachezaji wenzake, Nathan Dyer na Wayne Routledge baada ya kuifungia mabao mawili Swansea City katika ushindi wa 8-1 dhidi ya Notts County kwenye mchezo wa marudio wa hatua ya 32 Bora Kombe la FA England jana Uwanja wa Liberty mjini Swansea. Abraham alifunga dakika za 18 na 45 na ushei, wakati mabao mengine ya Swansea yalifungwa na Dyer mawili pia dakika za 20 na 30, Kyle Naughton dakika ya 53, Wayne Routledge dakika ya 57, Tom Carroll dakika ya 65 na Daniel James dakika ya 82, wakati la Notts County lilifungwa na Noor Husin dakika ya 35 na sasa vijana wa Carlos Carvalhal watamenyana nam Hillsborough katika 16 Bora ya FA PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SWANSEA YAITANDIKA NOTTS COUNTY 8-1 KOMBE KA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top