• HABARI MPYA

  Thursday, February 08, 2018

  SPURS YAIMIMINIA 2-0 NEWPORT NA KUSONGA MBELE KOMBE LA FA

  Erik Lamela akishangilia baada ya kufunga bao la pili dakika ya 34 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Newport kwenye mchezo wa marudio wa Raundi ya Nne Kombe la FA England usiku wa Jumatano Uwanja wa Wembley, London. Hilo ni bao la kwanza kwa Lamela tangu Septemba mwaka 2016. Bao la kwanza Newport walijifunga kupitia kwa Dan Butler dakika ya 26 kaabla ya Lamela kufunga ka pili.
  Spurs sasa itakutana na vibobde wa Ligi Daraja la Kwanza, Rochdale katika hatua ijayo kama February 18 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPURS YAIMIMINIA 2-0 NEWPORT NA KUSONGA MBELE KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top