• HABARI MPYA

  Monday, February 05, 2018

  SIMBA SC NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA UHURU

  Mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo akimlamba chenga mchezaji wa Ruvu Shooting anayejaribu kumzuia Mrundi huyo kwa mikono asiuwahi mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-0 
  Mfungaji wa mabao mawili ya Simba jana, John Bocco akimtoka beki wa Ruvu Shooting, Rajab Zahir 
  Mshambuliaji wa Simba SC, Mganda Emmanuel Okwi akivuta mguu kupiga mpira dhidi ya beki wa Ruvu Shooting, Damas Makwaya  
  Kipa wa Ruvu Shooting, Abdallah Rashid akitokea kuokoa dhidi ya Nahodha wa Simba, John Bocco aliyemzidi beki Rajab Zahir aliyeanguka chini  
  Beki Mghana wa Simba, Asante Kwasi akimiliki mpira mbele ya Issa Kanduru wa Ruvu Shooting   
  Beki wa Simba, Yussuf Mlipili (kushoto) akiwania mpira wa juu dhidi ya mshambuliaji wa Ruvu, Fully Maganga
  Mshambuliaji wa Ruvu Shooting, Abdulrahman Mussa akimiliki mpira mbele ya beki wa Simba, Erasto Nyoni 
  Beki wa Simba, Shomary Kapombe akitoa pasi katikati ya wachezaji wa Ruvu
  Kikosi cha Ruvu Shooting kwenye mchezo wa jana
  Kikosi cha Simba SC kwenye mchezo wa jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top