• HABARI MPYA

  Saturday, February 03, 2018

  SANCHEZ AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO MAN UNITED YASHINDA 2-0

  Washambuliaji wa Manchester United, Romelu Lukaku (kushoto) na Alexis Sanchez (kulia) wakishangilia baada ya wote kufunga katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Huddersfield Town kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Lukaku alifunga bao la kwanza dakika ya 55 akimalizia pasi ya Juan Mata wakati Sanchez alifunga la pili dakika ya 68 akiuwahi mpira uliookolewa na kipa Jonas Lossl baada ya shuti lake la penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SANCHEZ AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO MAN UNITED YASHINDA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top