• HABARI MPYA

  Sunday, February 04, 2018

  SALAH APIGA MBILI SPURS WACHOMOA ZOTE, SARE 2-2 NA LIVERPOOL ANFIELD

  Mohamed Salah akiteleza chini kushangilia huku akifuatwa na Alexander-Arnold baada ya kufunga mabao mawili dakika za tatu na ya kwanza ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika za 90 za kawaida katika sare ya 2-2 na Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Mabao ya Spurs ambayo mara zote ilitoka nyuma yamefungwa na kiungo Mkenya, Victor Wanyama dakika ya 80 na Harry Kane kwa penalti dakika ya tano ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90 za kawaida kufuatia beki ghali, Virgin van Dijk kumchezea rafu Erik Lamela.
  Awali, Kane alikosa penalti ya utata waliozawadiwa Spurs, baada ya kipa Karius kuokoa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SALAH APIGA MBILI SPURS WACHOMOA ZOTE, SARE 2-2 NA LIVERPOOL ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top