• HABARI MPYA

  Sunday, February 11, 2018

  RONALDO APIGA HAT TRICK REAL MADRID YASHINDA 5-2 LA LIGA

  Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia mabao matatu peke yake Real Madrid dakika za 27, 37 na 80 ikishinda 5-2 dhidi ya Real Sociedad katika mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Mabao mengine ya Real yalifungwa na Lucas Vazquez dakika ya kwanza na Toni Kroos dakika ya 34, wakati ya Sociedad yalifungwa na Jon Bautista dakika ya 74 na Illarramendi dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO APIGA HAT TRICK REAL MADRID YASHINDA 5-2 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top