• HABARI MPYA

  Wednesday, February 07, 2018

  ROBBEN AFUNGA MAWILI NA BAYERN MUNICH YATINGA NUSU FAINALI

  Mkongwe Arjen Robben akipongezwa na wenzake baada ya kufunga mabao mawili dakika za 86 na 88 katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Paderborn kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Ujerumani jana Uwanja wa Benteler-Arena mjini Paderborn. Mabao mengine ya timu ya kocha Jupp Heyckes yalifungwa na Kingsley Coman dakika ya 19, Robert Lewandowski dakika ya 25, Joshua Kimmich dakika ya 42 na Corentin Tolisso dakika  ya 55 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ROBBEN AFUNGA MAWILI NA BAYERN MUNICH YATINGA NUSU FAINALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top