• HABARI MPYA

  Sunday, February 04, 2018

  REAL MADRID MAMBO MAGUMU, YABANWA SARE 2-2 A LEVANTE

  Kipa wa Levante, Oier akiokoa mpira miguuni mwa mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Ciudad de Valencia timu hizo zikitoka sare ya 2-2. Mabao ya Real Madrid yalifungwa na Nahodha Sergio Ramos dakika ya 11 na Isco dakika ya 81 wakati ya Levante yalifungwa na Emmanuel Boateng dakika ya 42 na Giampaolo Pazzini dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID MAMBO MAGUMU, YABANWA SARE 2-2 A LEVANTE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top