• HABARI MPYA

  Sunday, February 11, 2018

  NEYMAR AING'ARISHA PSG UFARANSA, YASHINDA 1-0 UGENINI

  Mshambuliaji Mbrazil, Neymar akifumua shuti kuifungia bao pekee Paris Saint Germain dakika ya 68 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Toulouse kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa jana Uwanja wa Manispaa ya Toulouse, hilo likiuwa bao lake la 27 msimu huu PICHA ZAIDl GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEYMAR AING'ARISHA PSG UFARANSA, YASHINDA 1-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top