• HABARI MPYA

  Wednesday, February 07, 2018

  DI MARIA APIGA HAT TRICK PSG IKITINGA FAINALI KOMBE LA UFARANSA

  Nyota wa zamani wa Manchester United, Angel di Maria akishangilia baada ya kuifungia mabao matatu peke yake Paris Saint-Germain dakika za kwanza, 58 na 62 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Sochaux kwenye mchezo wa marudiano wa Robo Fainali Kombe la Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Auguste-Bonal mjini Montbeliard. Bao lingine la PSG lilifungwa na Edinson Cavani dakika ya 27 wakati la Sochaux lilifungwa na Florian Martin dakika ya 13. 
  Katika mchezo huo, kipa wa PSG, Kevin Trapp alitolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 90 wakati wamekwishamaliza idadi ya wachezaji wa kubadili, ikabidi Dani Alves akasimame langoni kumalizia dakika za majeruhi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DI MARIA APIGA HAT TRICK PSG IKITINGA FAINALI KOMBE LA UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top