• HABARI MPYA

    Friday, February 09, 2018

    DEWJI ALIVYOISHUHUDIA SIMBA YAKE IKIIKANDAMIZA AZAM FC 1-0 TAIFA

    Kaimu Makamu wa Rais wa klabu ya Simba, Iddi Kajuna (kushoto) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya klabu, Kassim Dewji wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jumatano baina ya timu yao na Azam FC Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 1-0  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DEWJI ALIVYOISHUHUDIA SIMBA YAKE IKIIKANDAMIZA AZAM FC 1-0 TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top