• HABARI MPYA

  Saturday, February 10, 2018

  CHICHARITO AFUNGA WEST HAM YAICHAPA WATFORD 2-0

  Javier Hernandez 'Chicharito' akiifungia West Ham United bao la kwanza dakika ya 38 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Watford leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa London. Bao la pili lilifungwa na Marko Arnautovic dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHICHARITO AFUNGA WEST HAM YAICHAPA WATFORD 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top