• HABARI MPYA

  Tuesday, February 06, 2018

  CHELSEA YAPIGWA 4-1 NA WATFORD HADI AIBU BAKAYOKO ALIMWA NYEKUNDU

  Mshambuliaji mpya wa Chelsea, Mfaransa Olivier Giroud (kushoto) akitembea kinyonge na mchezaji mwenzake, Mbelgiji Eden Hazard baada ya kufungwa mabao 4-1 na Watford leo Uwanja wa Vicarage Road mjini Watford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao ya Watford yamefungwa na Troy Deeney dakika ya 42 kwa penalti, Daryl Janmaat dakika ya 84, Roberto Pereyra dakika ya 82 na Gerard Deulofeu dakika ya 90 na ushei, huku la The Blues iliyomaliza pungufu baada ya Tiemoue Bakayoko kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 30 baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano likifungwa na Eden Hazard dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAPIGWA 4-1 NA WATFORD HADI AIBU BAKAYOKO ALIMWA NYEKUNDU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top