• HABARI MPYA

  Sunday, February 11, 2018

  BATSHUAYI AENDELEZA MOTO WA MABAO BORUSSIA DORTMUND

  Mshambuliaji Mbelgiji, Michy Batshuayi anayecheza kwa mkopo kutoka Chelsea akibinuka sarakasi baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 49 katika ushindi wa 2-0 wa Borusia Dortmund dhidi ya Hamburg kwenye mchezo wa Bundesliga usiku wa jana Uwanja wa Signal-Iduna-Park. Bao la pili la Borusia Dortmund lilifungwa na Mario Gotze dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BATSHUAYI AENDELEZA MOTO WA MABAO BORUSSIA DORTMUND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top