• HABARI MPYA

  Saturday, February 03, 2018

  BATSHUAYI APIGA MBILI BORUSSIA DORTMUND YASHINDA 3-2

  Michy Batshuayi akishangilia baada ya kuifungia timu yake mpya, Borussia Dortmund mabao mawili na kuseti moja ikishinda ugenini 3-2 dhidi ya wenyeji, FC Cologne Uwanja wa RheinEnergie. Batshuayi, mshambuliaji wa KIbelgiji aliyesajiliwa wiki hii kwa mkopo kutoka Chelsea, alifunga dakika ya 35 na 62, wakati bao lingine la Dortmund limefungwa na André Schürrle dakika ya 84 na mabao ya wenyeji, FC Cologne yalifungwa na Simon Zoller dakika ya 60 na Jorge Meré dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BATSHUAYI APIGA MBILI BORUSSIA DORTMUND YASHINDA 3-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top