• HABARI MPYA

    Sunday, February 04, 2018

    AZAM FC NA NDANDA FC KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

    Mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Iddi Chilundea akipiga mpira dhidi ya kipa wa Ndanda FC, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 3-1  
    Mshambuliaji chipukizi wa Azam FC, Paul Peter (kulia) akimtoka beki wa Ndanda FC 
    Kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Iddi kipagwile akipita katikati ya wachezaji wa Ndanda FC 
    Winga Mghana wa Azam FC, Enock Atta-Agyei akimtoka beki wa Ndanda, Job Ibrahim 
    Mshambuliaji wa Azam FC, Yahya Zayed akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Ndanda
    Beki Mzimbabwe wa Azam FC, Bruce Kangwa akimpita mchezaji wa Ndanda jana 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC NA NDANDA FC KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top