Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kufunga bao la nne dakika ya 37 na la kwanza kwake baada ya kujiunga na Arsenal wiki hii akitokea Borussia Dortmund kwa Pauni Milioni 56 za rekodi katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Everton Uwanja wa Emirates. Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Aaron Ramsey matatu dakika za sita,19 na 74 na Laurent Koscielny dakika ya 37, wakati la Everton limefungwa na Dominic Calvert-Lewin dakika ya 64 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
BALOZI WA TANZANIA NCHINI CHINA AZUNGUMZIA FURSA AMBAYO NCHI YETU IMEIPATA KWENYE MAONESHO YA UTALII
-
*Na Ripota Wetu, China*
*BALOZI wa Tanzania nchini China Mbelwa Kairuki amesema zaidi watu 1,000
wamepata fursa ya kutembelea banda la Tanzania ambalo lilik...
44 minutes ago
0 comments:
Post a Comment