• HABARI MPYA

  Saturday, February 10, 2018

  ARSENAL YAKANDAMIZWA 1-0 NA SPURS WEMBLEY...MAMBO YA KANE HAYO!

  Harry Kane (kulia) akishangilia na Dele Alli baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao pekee dakika ya 49 wakiilaza Arsenal 1-0 Uwanja wa Wembley katika mechi ya Ligi Kuu ya England baina ya mahasimu wa Jiji la London leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAKANDAMIZWA 1-0 NA SPURS WEMBLEY...MAMBO YA KANE HAYO! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top