• HABARI MPYA

  Saturday, February 10, 2018

  AGUERO AFUNGA MANNE MAN CITY YAICHAPA LEICESTER 5-1

  Mshambuliaji Sergio Aguero baada ya kufunga mabao manne dakika za 48, 53, 77 na 90 katika ushindi wa 5-1 wa Manchester City dhidi ya Leicester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Bao la kwanza la Man City limefungwa na Raheem Sterling dakika ya tatu, wakati la Leicester City limefungwa Jamie Vardy dakika ya 24 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AGUERO AFUNGA MANNE MAN CITY YAICHAPA LEICESTER 5-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top