• HABARI MPYA

    Sunday, January 07, 2018

    VIONGOZI AZAM FC KWA RAHA ZAO BAADA YA KUIPIGA SIMBA JANA

    Makamu Mwenyekiti wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' (kulia) akiwa na viongozi wengine wa timu jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar wakati wa mchezo wa Kundi A Kombe la Mapinduzi dhidi ya Simba SC. Azam ilishinda 1-0 
    Kulia ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Hajji Sunday Manara akisalimiana na Rais wa heshima wa Azam FC, Jamal Bakhresa 'Bui'
    Hapa Popat akiwa na mashabiki wa Azam FC wakati wanarejea Dares Salaam leo kutoka Zanzibar 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VIONGOZI AZAM FC KWA RAHA ZAO BAADA YA KUIPIGA SIMBA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top