• HABARI MPYA

  Thursday, January 11, 2018

  USHANGILIAJI MPYA WA NEYMAR BAADA YA KUFUNGA KWA TUTA

  Nyota Mbrazil, Neymar Junior akiweka kiatu chake kichwani kushangilia bao la kwanza aliloifungia Paris Saint-Germain dakika ya 53 kwa penalti katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Amiens SC kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Ligi Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Licorne, Amiens. Bao la pili la PSG lilifungwa na Adrien Rabiot dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: USHANGILIAJI MPYA WA NEYMAR BAADA YA KUFUNGA KWA TUTA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top