• HABARI MPYA

    Tuesday, January 09, 2018

    SUAREZ ALIVYOMKARIBISHA COUTINHO BARCELONA

    Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez (kulia) akifurahia na mchezaji mpya, Philippe Coutinho waliyekuwa naye Liverpool. Coutinho ameungana na Suarez Barca kwa ada ya uhamisho ya Pauni Milioni 145 kutoka Liverpool PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SUAREZ ALIVYOMKARIBISHA COUTINHO BARCELONA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top