• HABARI MPYA

    Wednesday, January 03, 2018

    STERLING AFUNGUA BIASHARA NZURI MAN CITY YASHINDA 3-1

    Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Manchester City sekunde ya 40 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Watford usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Christian Kabasele aliyejifunga dakika ya 13 na Sergio Aguero dakika ya 63, wakati la Watford alifunga Andre Gray dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: STERLING AFUNGUA BIASHARA NZURI MAN CITY YASHINDA 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top