• HABARI MPYA

  Wednesday, January 03, 2018

  SPURS YASHINDA 2-0 UGENINI LIGI KUU YA ENGLAND

  Wakifurahia kwa pamoja ni Harry Kane aliyetokea benchi jana na kumpa pasi nzuri Dele Alli (mbele) kuifungia bao la pili Tottenham Hotspur dakika ya 89 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Swansea City Uwanja wa Liberty. Bao la kwanza la Spurs lilifungwa na Fernando Llorente dakika ya 12 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPURS YASHINDA 2-0 UGENINI LIGI KUU YA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top