• HABARI MPYA

    Friday, January 05, 2018

    SON HEUNG-MIN AINUSURU SPURS KUCHAPWA NA WEST HAM

    Son Heung-Min akishangilia baada ya kuifungia bao zuri la kusawazisha Tottenham Hotspur dakika ya 84 usiku wa jana Uwanja wa Wembley ikilazimisha sare ya 1-1 na West Ham United iliyotangulia kwa bao la Pedro Obiang dakika ya 70 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SON HEUNG-MIN AINUSURU SPURS KUCHAPWA NA WEST HAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top