• HABARI MPYA

    Saturday, January 13, 2018

    REAL MADRID YAKANDAMIZWA 1-0 PALE PALE BERNABEU

    Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akilalamika kwa refa Alberto Undiano Mallenco kudai penalti wakati wa mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Bernabeu wakifungwa 1-0 na Villarreal, bao pekee la Pablo Fornals dakika ya 87 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: REAL MADRID YAKANDAMIZWA 1-0 PALE PALE BERNABEU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top