• HABARI MPYA

  Monday, January 08, 2018

  REAL MADRID NAO WANAPAMBANA NA HALI YAO LA LIGA, SARE 2-2

  Wachezaji wa Real Madrid wakiwa wanyonge baada ya sare ya 2-2 na wenyeji, Celta Vigo kwenye mchezo wa La Liga usiku wa Jumapili Uwanja wa de Balaidos mjini Vigo inayozidi kuwaondoa kwenye mbio za ubingwa, sasa wakizidiwa pointi 16 na vinara Barcelona. Mabao ya Real Madrid jana yalifungwa na Gareth Bale yote dakika za 36 na 38, wakati ya Celta Vigo yalifungwa na Daniel Wass dakika ya 33 na Maxi Gomez dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID NAO WANAPAMBANA NA HALI YAO LA LIGA, SARE 2-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top