• HABARI MPYA

  Sunday, January 07, 2018

  MZEE KAWAWA ALIKUWEPO MAJI MAJI IKIFUMULIWA 3-0 NA AHLY 1999 DAR

  Waziri Mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rashid Mfaume Kawawa (kushoto) akisalimiana na Nahodha wa Maji Maji, Omar Kapilima kabla ya mechi ya Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri mwaka 1999 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam. Wengine kulia ni Amri Said na Willy Martin ‘Gari Kubwa’ na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Soka Tanzania (FAT, sasa shirikisho, TFF), Subira Mambo (marehemu). Inaaminika huu ndiyo mchezo wa mwisho soka Mzee Kawawa alihudhuria kabla ya kifo chake, Desemba 31, mwaka 2009 mjini Dar es Salaam akiwa ana umri wa miaka 83. Al Ahly ilishinda 3-0.
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MZEE KAWAWA ALIKUWEPO MAJI MAJI IKIFUMULIWA 3-0 NA AHLY 1999 DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top