• HABARI MPYA

    Monday, January 08, 2018

    MOURINHO AWAPELEKA MAN UNITED DUBAI MAZOEZI YA JOTO

    Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho akiongoza msafara wa timu yake kwa safari ya Dubai leo kwenda kufanya mazoezi ya wiki moja kwenye hali ya joto kabla ya kurejea kwenye mikikimiki ya Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MOURINHO AWAPELEKA MAN UNITED DUBAI MAZOEZI YA JOTO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top