• HABARI MPYA

  Friday, January 12, 2018

  MESSI AFUNGA MAWILI BARCELONA YAICHAPA 5-0 CELTA VIGO

  Nyota wa Argentina, Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 13 na 15 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Celta Vigo kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 bora Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Mabao mebgine ya Barcelona yamefungwa na Jordi Alba dakika ya 28, Luis Suarez dakika ya 31 na Ivan Rakitic dakika ya 87 na sasa timu ya kocha Ernesto Valverde inakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 6-1 baada ya sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza ugenini PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AFUNGA MAWILI BARCELONA YAICHAPA 5-0 CELTA VIGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top