• HABARI MPYA

  Monday, January 01, 2018

  MARTIAL, JESSE LINGARD WAFUNGA MAN UNITED YASHINDA 2-0

  Jesse Lingard akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la pili dakika ya 81 ikiwalza wenyeji, Everton Uwanja wa Goodison Park mjini Liverpool, huo ukiwa ushindi wa kwanza kwa kikosi cha kocha Mreno, Jose Mourinho baada ya mechi nne. Bao la kwanza na United lilifungwa na Anthony Martial dakika ya 57 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MARTIAL, JESSE LINGARD WAFUNGA MAN UNITED YASHINDA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top