• HABARI MPYA

  Wednesday, January 10, 2018

  MAN CITY YAICHAPA 2-1 BRISTOL NUSU FAINALI YA KWANZA CARABAO ETIHAD

  Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la ushindi dakika ya 90 na ushei ikiilaza 2-1 Bristol City katika Nusu Fainali ya kwanza ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup usiku wa Jumanne Uwanja wa Etihad. Timu hizo zitarudiana Januari 23 Ashton Gate mjini Bristol. Bristol walitangulia kwa bao la mkwaju wa penalti la Bobby Reid dakika ya 44 baada ya yeye mwenyewe kuangushwa na John Stones, kabla ya Kevin De Bruyne kuisawazishia City dakika ya 55 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAICHAPA 2-1 BRISTOL NUSU FAINALI YA KWANZA CARABAO ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top