• HABARI MPYA

    Saturday, January 06, 2018

    LUKAKU AIFUNGIA BAO LA USHINDI MAN U YAICHAPA 2-0 DERBY COUNT

    Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la pili dakika ya 90 ikiichapa 2-0 Derby Count katika mchezo wa Kombe la FA England usiku wa Ijumaa Uwanja wa Old Trafford na kutinga Raundi ya Nne. Bao la kwanza la United limefungwa na Jesse Lingard (kulia) dakika ya 84 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LUKAKU AIFUNGIA BAO LA USHINDI MAN U YAICHAPA 2-0 DERBY COUNT Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top