• HABARI MPYA

    Monday, January 01, 2018

    LIVERPOOL HAKUNA KUJUANA, YAIBUTUA BURNLEY 2-1 TURF MOOR

    Sadio Mane akishangilia na Trent Alexander-Arnold na Adam Lallana baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza dakika ya 61 Uwanja wa Turf Moor katika ushindi wa 2-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya wenyeji, Burnley. Bao la pili la Liverpool lilifungwa na Ragnar Klavan dakika ya 90 na ushei baada ya Johann Berg Gudmundsson kuisawazishia Burnley dakika ya 87 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL HAKUNA KUJUANA, YAIBUTUA BURNLEY 2-1 TURF MOOR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top