• HABARI MPYA

    Sunday, January 14, 2018

    KANE AWEKA REKODI MPYA YA MABAO SPURS IKIIPIGA 4-0 EVERTON

    Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur mabao mawili dakika za 47 na 59 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Everton usiku wa jana Uwanja wa Wembley London na kuweka rekodi ya mfungaji wa mabao mengi wa muda wote kwenye Ligi Kuu ya England kwa kufikisha mabao 98. Mabao mengine ya Spurs jana yalifungwa na Son Heung-Min dakika ya 26 na Christian Eriksen dakika ya 81 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KANE AWEKA REKODI MPYA YA MABAO SPURS IKIIPIGA 4-0 EVERTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top