• HABARI MPYA

    Sunday, January 07, 2018

    KANE AFUNGA MAWILI SPURS YAIMIMINIA 3-0 WIMBLEDON KOMBE LA FA

    Harry Kane akikimbia kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Tottenham Hotspur dakika za 63 na 65 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Wimbledon kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu ya Kombe la FA England leo Uwanja wa Wembley. Bao lingine la Spurs inayosonga mbele Raundi ya nne limefungwa na Jan Vertonghen dakika ya 71 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KANE AFUNGA MAWILI SPURS YAIMIMINIA 3-0 WIMBLEDON KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top