• HABARI MPYA

  Wednesday, January 17, 2018

  IHEANACHO AFUNGA YOTE LEICESTER CITY YASHINDA 2-0 KOMBE LA FA

  Nyota Mnigeria, Kelechi Iheanacho (kulia) akishangilia baada ya kuifungia mabao yote mawili Leicester City dakika za 43 na 77 ikishinda 2-0 dhidi ya Fleetwood ya Daraja la Kwanza katika mchezo wa Kombe la FA jana Uwanja wa King Power, Leicester. Hata hivyo, kwa bao la pili ilibidi kwanza refa Jon Moss athibitishiwe kupitia teknolojia ya picha za video (VAR) kwamba Iheanacho hakuwa ameotea baada ya awali kukataliwa akidhaniwa alikuwa ameotea. Iheanacho anaweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza England bao lake kuhalalishwa na mfumo wa VAR baada ya awali kukataliwa kwa kudhaniwa ameotea PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IHEANACHO AFUNGA YOTE LEICESTER CITY YASHINDA 2-0 KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top