• HABARI MPYA

    Tuesday, January 02, 2018

    FAMILIA YA NGUZA ILIPOMTEMBELEA RAIS MAGUFULI IKULU LEO

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akisalimiana na mwanamuziki nguli nchini, Nguza Viking (kushoto) leo Ikulu mjini Dar es Salaam. Kulia ni mtoto wa Nguza, Papii Kocha. Familia ya Nguza imefika Ikulu leo kumshukuru Rais Magufuli kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha jela Desemba 9, mwaka jana
    Nguza Viking na wanawe wakifurahi leo Ikulu mjini Dar es Salaam 
    Papii Kocha akionyesha tattoo ya JPM (John Pombe Magufuli) aliyochora
    Rais Magufuli katika picha ya pamoja na familia ya Nguza 
    Hapa ni wakati Nguza Viking na wanawe wanaingia Ikulu mjini Dar es Salaam
    Hapa ni wakati wa mazungumzo yao Ikulu leo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FAMILIA YA NGUZA ILIPOMTEMBELEA RAIS MAGUFULI IKULU LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top