• HABARI MPYA

    Saturday, January 06, 2018

    EVERTON YASAJILI MTURUKI KUZIBA PENGO LA LUKAKU

    Mshambuliaji Mturuki, Cenk Tosun akisaini mkataba wa miaka minne na nusu kujiunga na Everton kwa ada ya uhamisho ya Pauni Milioni 27 kutoka Besiktas ya kwao kuziba pengo la Romelu Lukaku aliyehami Manchester United mwanzoni mwa msimu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: EVERTON YASAJILI MTURUKI KUZIBA PENGO LA LUKAKU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top