• HABARI MPYA

    Friday, January 05, 2018

    DEMBELE AREJEA BARCELONA IKITOA SARE NA CELTA VIGO

    Ousmane Dembele akiburuza mpira baada ya kuingia zikiwa zimebaki dakika 20 kwa mara ya kwanza baada ya kuwa nje kwa muda mrefu kwa sababu ya maumivu Barcelona ikitoa sare ya 1-1 na wenyeji, Celta Vigo kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Balaidos mjini Vigo. Barca walitangulia kwa bao la Jose Arnaiz dakika ya 15, kabla ya Pione Sisto kuwasawazishia wenyeji dakika ya 31 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DEMBELE AREJEA BARCELONA IKITOA SARE NA CELTA VIGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top