• HABARI MPYA

    Monday, January 08, 2018

    COUTINHO ALIVYOTAMBULISHWA BARCELONA JANA

    Mchezaji mpya wa Barcelona, Philippe Coutinho aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 145 akitambulishwa usiku wa jana akiwa amevaa jaketi la timu hiyo Katalunya Uwanja wa Camp Nou. Lakini utambulisho rasmi wa mchezaji huyo kwenye kwenye kikosi cha Ernesto Valverde unatarajiwa kufanyika leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: COUTINHO ALIVYOTAMBULISHWA BARCELONA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top