• HABARI MPYA

    Saturday, January 06, 2018

    COSTA AFUNGA ATLETICO MADRID, ATOLEWA KWA KADI NYEKUNDU

    Mshambuliaji Diego Costa akiruka uzio kwenda kushangilia na mashabiki baada ya kuifungia bao la pili Atletico Madrid dakika ya 68 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Getafe kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid. Costa alitolewa kwa kadi nyekundu kwa kwenda kushangilia na mashabiki katika mechi hiyo ya kwanza tangu arejee Atletico kutoka Chelsea. Bao la kwanza la Atletico Madrid lilifungwa na Angel Correa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: COSTA AFUNGA ATLETICO MADRID, ATOLEWA KWA KADI NYEKUNDU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top