• HABARI MPYA

  Saturday, January 13, 2018

  CHELSEA YASHINDWA KUIFUNGA LEICESTER CITY PUNGUFU

  Refa Mike Jones akimuonyesha kadi nyekundu beki wa pembeni wa Leicester City, Ben Chilwell (kulia) kufuatia kumuonyesha kadi ya pili ya njano dakika ya 68 baada ya kumchezea rafu Victor Moses wa Chelsea anayegalagala kushoto wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge, London timu hizo zikitoka sare ya 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YASHINDWA KUIFUNGA LEICESTER CITY PUNGUFU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top