• HABARI MPYA

  Saturday, January 13, 2018

  BAYERN MUNICH YAWAFUMUA BAYER LEVERKUSEN 3-1

  James Rodriguez akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich bao la tatu dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Bayer Leverkusen Uwanja wa BayArena. Mabao mengine ya Bayern Munich yalifungwa na Javi Martinez dakika ya 32 na Frank Ribery dakika ya 59, wakati la wenyeji lilifungwa na Kevin Volland dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAYERN MUNICH YAWAFUMUA BAYER LEVERKUSEN 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top