• HABARI MPYA

  Friday, January 05, 2018

  BALE AFUNGA REAL MADRID YASHNDA 3-0 KOMBE LA MFALME

  Nyota wa Real Madrid, Gareth Bale (kulia) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 35 kwa penalti baada ya Carlos Gonzalez kumuangusha Lucas Vasquez kwenye boksi katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Numancia kwenye mechi ya kwanza ya hatua ya 16 Bora Kombe la Mfalme Hispania iliyofanyika jana Uwanja wa Nuevo Estadio Los Pajaritos mjini Soria. Mabao mengine ya Real Madrid yalifunga na Isco kwa penalti dakika ya 89 baada ya Pape Diamanka kumchezea rafu Nacho na kutolewa kwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano na Borja Mayoral dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALE AFUNGA REAL MADRID YASHNDA 3-0 KOMBE LA MFALME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top