• HABARI MPYA

  Sunday, January 07, 2018

  AZAMFC NA SIMBA KATIKA PICHA JANA ZANZIBAR

  Mfungaji wa bao pekee la Azam FC katika ushindi wa 1-0 jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar, Iddi Kipwagile akimtoma mshambuliaji Mghana wa Simba, Nicholaus Gyan huku mbele yake kuna beki Mganda, Juuko Murshid
  Mshambuliaji Mghana wa Azam FC, Bernard Arthur akijivuta kupiga mpira jana
  Chpukizi wa Azam FC, Yahya Zayed akiwatoka wachezaji wa Simba jana
  Wachezaji wa Azam FC wakifurahia ushindi wao uliowapa tiketi ya Nusu Fainali
  Nahodha wa Azam FC, Himid Mao akimpongeza kipa Mghana, Razack Abalora kwa udakaji mzuri 
  Manahodha; Himid Mao wa Azam FC (kulia) na John Bocco wa Simba (kushoto) wakisalimiana kabla ya mechi 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAMFC NA SIMBA KATIKA PICHA JANA ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top